Polls: King of MMU 2011

Je, Ni Nani Unampigia Kura Kuwa "JF King of MMU 2011"?

  • Mbu

    Votes: 28 43.1%
  • The Boss

    Votes: 37 56.9%

  • Total voters
    65
  • Poll closed .
@kongosho na kipipi ndio mnazidi kunichanganya. Bora nisivote.

Usiwe na shaka Hus,

Hauko peke yako....Kuna BJ, Chauro, Babu DC na wengine kibao ambao tunapeleka petition kwa Superman ili something ifanyike kuzuia hii kura isiyo na tija kwa MMU....

Hivi unaweza kuwapambanisha identical twins na bado ukasema uko fair and impartial!!

We love our one and only one MMU ......na hii kura haina tija,

Babu DC!!
 
dah! Bora babu umenitoa hofu. Yaani hapa ni utata mtupu.
 
Huyu superman huyu,

He is not a good man any more!!

Lazima apelekwe mbele ya tume ya ukweli na maridhiano kujieleza!!

Babu DC!!

tatizo hajatafuta ushauri wa wadau. Mambo yasingekuwa hivi. Babu ulikuwa wapi hujamshauri?
 
tatizo hajatafuta ushauri wa wadau. Mambo yasingekuwa hivi. Babu ulikuwa wapi hujamshauri?

Nimeongea naye sana ila sijui kwa nini amefanya miscalculation ya ajabu kiasi hiki...

With more voices...lazima ataelewa sasa kwama hii ni kasa (toxic deal)!!

Babu DC!!
 
Nimeongea naye sana ila sijui kwa nini amefanya miscalculation ya ajabu kiasi hiki...

With more voices...lazima ataelewa sasa kwama hii ni kasa (toxic deal)!!

Babu DC!!

superman ni mwelewa. Jana tulimpigia debe hadi EMT hadi akarudishwa kwenye mashindano. Nafikiri na hili atalifanyia kazi.
 
hivi unaweza kuniambia kwanini hujamuweka husninyo kwenye mmu tumpigie kura? naongea na superman.
 
@kongosho na kipipi ndio mnazidi kunichanganya. Bora nisivote.

TB anabamba kwa mambo ya small houses tu kuongeza disaster kwenye families.......lakini Mbu ni kwa mapwenti yenye busara na full ujazo kwa wale wote wenye mapenzi mema!!!! Vote for Mbu, mwanakwetu.......vote for Mbu!
 
hivi unaweza kuniambia kwanini hujamuweka husninyo kwenye mmu tumpigie kura? naongea na superman.

hahahaha! Husninyo porojo nyingi tatizo. Dah! Ngoja mwaka 2050 nianze kumwaga mapwenti.
 
hata aliyeleta kondom alipingwa vikali
lakini haimaanishi hakukuwa na Ukimwi.

'The Boss for responsible people'

Kama ulielewa, ule uzi ilikuwa 'doing the wrong thing right'
hata ukatae vip, nyumba ndogo ni atizo ambalo lipo kwenye jamii yetu.

TB anabamba kwa mambo ya small houses tu kuongeza disaster kwenye families.......lakini Mbu ni kwa mapwenti yenye busara na full ujazo kwa wale wote wenye mapenzi mema!!!! Vote for Mbu, mwanakwetu.......vote for Mbu!
 
babu, nominations zilifanywa hapa kwa uwazi kabisa.
Na haya ndo majina yaliyopendekezwa

tusimlaumu superman moja moja kwa moja
unless tulitaka atupangie kwa kuchagua
hiyo ingekuwa sawa na kupanga mshindi.

Hii ni burudani zaidi kunapokuwa na utata.
Ndio fun yenyewe

unless mnawatizama usoni, lakini katika ushabiki lazima unapaka wa kushabikia.

Ulishawahi cheza karata peke yako? Au bao?hizo hizo timu zako, kuna moja unaishabikia.

Mie Mbu ni mshabiki wake, lakini kwa leo niko timu ya The Boss.
Kwa hiyo Babu, acha kupinga, kuna baadhi utawatingisha hasa wajukuu zako wadogo wadogo

Usijisumbue Hus,

Hii voting itakuwa nullified muda si mrefu....

Babu DC!!
 
Eh sasa kama wengine ni active members kwenye kusoma posts na comments tu aka undercover kura zetu tupa kule? πŸ™
 
Kwa kweli hapa nimebaki na utata tu maana hawa waheshimiwa wote nawakubali kila mtu kwa nafac yake dah!
 
akili zako ni finyu sana, kwani jina ni kigezo??
King of MMU ni MBU, jamaa yuko smart sana na hua anashusha point za nguvu hapa MMU, namkubali Mbu hapa MMU kuliko the Boss
 
...hahaha, Kwakuwa Arsenal imefufuka au? Usitake nitafute pa kujificha j4...:eyebrows:

2012, dunia ni yako...:nimekataa:πŸ˜›ray::rant:...chaguo ni lako.

Chaguo langu ni wewe mkuu, hahaa Arsenal wamefufuka, ngoja tusubiri hiyo kesho tuone
 
Hili ni jaribio baya sana Kaka/dada Kongosho....

Ni rushwa/ufisadi unataka kumtembezea Babu!!

Hadaganyikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!

Babu DC!!
 
Babu

Hebu njoo huku chemba
Nina ka asante kako kazuri tu

Unajua nimegundua wee una busara
Na zinastahili zawadi
Sina lengo la kubadili msimamo wako

Hili ni jaribio baya sana Kaka/dada Kongosho....

Ni rushwa/ufisadi unataka kumtembezea Babu!!

Hadaganyikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!

Babu DC!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…