Polls: Queen of MMU 2011

Je, Ni Nani Unampigia Kura Kuwa "JF Queen of MMU 2011"?

  • Lizzy

    Votes: 28 37.8%
  • AshaDii

    Votes: 46 62.2%

  • Total voters
    74
  • Poll closed .

Superman

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2007
Posts
5,693
Reaction score
1,702
MODS: Naomba Polls zikimalizika Threads zote hapa chini ziunganishwe: https://www.jamiiforums.com/mahusia...n-and-woman-of-the-year-2011-competition.html

Kampeni na Upigaji wa Kura na Umeshaanza kwa Categories Zote:

Tafadhali Piga Kura Yako Hapa:












Wana Jamii

Baada ya Mchakato wa Kura za maoni Kumalizika na Kusikiliza Rufaa zote, Tume ya Uchaguzi ya JF (JEC) imepitisha Majina ya Wagombea Watakaoingia Fainali na Kupigiwa Polls.

Ili kuuelewa mchakato ulikoanzia, tafadhali pitia uzi huu:
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/229183-jf-man-and-woman-of-the-year-2011-competition.html

Washindi waliopatikana sasa Watashindanishwa kwa Polls/Kura ili kupata Mshindi wa kila Category.

Majina yaliyopitishwa baada ya Wagombea wengi sana kuchujwa Katika Category ya:

Queen of MMU 2011 ni:

1. Lizzy
2. AshaDii


Tafadhali piga kura yako kwa yule unayedhani anafaa kuwa
Queen of MMU 2011 kwa kuzingatia vigezo vilivyotajwa:https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/229183-jf-man-and-woman-of-the-year-2011-competition.html

Ili kuleta raha na changamoto ya Ushindani - kampeni za kuwapamba wagombea na kuwapigia debe kwenye PM kwa members mbalimbali au katika uzi huu inaruhusiwa.

NB: ID zitakazopiga kura na kuhisiwa kuwa zinachakachua kwa maana ya ID Mpya kabisa au ID mfu ambazo si active kwa kipindi kirefu hadi kipindi hiki cha kura zote zitaondolewa.

Uamuzi wa Tume Utakuwa Wa Mwisho.
Signed & Sealed:


Superman
Chairman - JEC

 
Lizzy for the Queen.

Slogan sijui iwe 'Lizzy for entertainment & ujumbe'?

Vote for Lizzy.

Hapa sababu za ku-vote Lizzy ni entertainer, full actions, drama, na ujumbe murua toka kwenye sredi zake
 
sikubaliani na uteuzi wa kongosho hadi tumuone
 
Mimi mwanamke sijamlalia juu yake, siwezi kumuita Queen hata siku moja :biggrin:
 
kwanini ya wanaume unasema MAN of the year, wanawake unasema QUEEN of the year na ya combined unasema SHEMALE
 
hapa ni Lizzy
afu kule kwingine ADI
we vipi, tunakugaya.

Hivi huzioni sredi za hiki kibinti zinavyoburudisha?

Kongosho, hivi unaweza kuamini mi hata sijui nimempigia nani? Dah.......eti nimeambiwa tu 'you have already voted'!
 
kwanini ya wanaume unasema MAN of the year, wanawake unasema QUEEN of the year na ya combined unasema SHEMALE
Mkuu, kuna category tano. King and queen of MMU, Man and woman of JF then shemale of the year.
 
AshaDii anastahili kwa heshima na taadhima
 
hawa wadada mmewaweka kategori moja nimepata tabu sana kupiga kura, kila mmoja anafaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…