N ngawia JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 770 Reaction score 794 Feb 23, 2017 #1 Habari wadau naomba msaada mke wangu anasumbuliwa na PCOS Ni mwaka wa tano sasa anaweza vidonge bila mafanikio katika hospital tofauti. Naomba mwenye experience na hili tatizo, Je opesheni inaweza kuwa ndio suluhisho la hili tatizo?
Habari wadau naomba msaada mke wangu anasumbuliwa na PCOS Ni mwaka wa tano sasa anaweza vidonge bila mafanikio katika hospital tofauti. Naomba mwenye experience na hili tatizo, Je opesheni inaweza kuwa ndio suluhisho la hili tatizo?
Delzzy Senior Member Joined Jul 10, 2013 Posts 189 Reaction score 16 Feb 23, 2017 #2 Inategemea operation is the best way japo pagumu mm nliambiwa op nkagoma nkanywa dawa ikasaidia so its depend kama imekuwa kwa kias kikubwa.....kamuone doctar kapona yupo chanika ni best doctar mkeo ata concive tu
Inategemea operation is the best way japo pagumu mm nliambiwa op nkagoma nkanywa dawa ikasaidia so its depend kama imekuwa kwa kias kikubwa.....kamuone doctar kapona yupo chanika ni best doctar mkeo ata concive tu