Pombe aina ya viroba kupigwa marufuku

mambali

Senior Member
Joined
Oct 16, 2012
Posts
170
Reaction score
64
katibu mkuu wa viwanda na biashara amesema atazifungia pombe zote zinazotengenezwa na kuwekwa kwenye vifuko vya plastiki almaarufu viroba ikiwa hazina viwango na pia usalama wake kwa mtumiaji ni mdogo ameyasema katika siku ya viwango iliyoshirikisha wadau mbalimbali.
 
sasa mbona kama analeta upinzani huyu hajui kama wanachama wetu lazima wawe bwi kwa viloba?? au ametumwa na Nape??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…