Pombe balaa.............

Pombe balaa.............

BIN BOR

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
1,013
Reaction score
407
Polisi walikuwa wanaranda kutafuta baa ambazo hazijafungwa saa sita usiku. Mara wakaiona baa moja ina wateja. Walipoingia pale, walevi karibu wote wakakimbia isipokuwa mmoja aliyelewa sana akaanguka chini kutoka kwenye stuli ndefu. Akawa kama kapoteza fahamu hivi. Polisi mmoja akamwagia maji na kumpepea yule mlevi akazinduka. Maongezi yakawa hivi......
Mlevi : Nini kinaendelea hapa?
Polisi : Ulianguka, ukapoteza fahamu. Sasa umezinduka amka twende kituoni.
Mlevi : Uliniona wakati naanguka?
Polisi : Ndio
Mlevi : Unanifahamu mimi?
Polisi : Hata! Sikufahamu.
Mlevi : Sasa afande, kama hunifahamu ulijuaje kuwa ni mimi ndiye niliyeanguka?
 
Dah! Hapo kinachofuata ni 'afande marwa hebu rifundishe hiri lirevi adabu!'
 
Ha ha ha ha!
Huyo amezinduka huku pombe hazijaisha.
 
Dah! Hapo kinachofuata ni 'afande marwa hebu rifundishe hiri lirevi adabu!'

Wakishafika kituoni utawasikia 'Afande Marwa, hebu rimbambike kesi ya mauaji tupate angarau kauraji'
 
Back
Top Bottom