Pombe gani inayolewesha sana,kwangu naona valuer imedunda?

Pombe gani inayolewesha sana,kwangu naona valuer imedunda?

Wanasema weka kipande cha tissue paper ndani ya chupa ya pombe
 
Value changanya na metacafine vidonge viwili....alafu tulia kidogo kama sio wewe hivi
 
Ukiona mpaka pombe kali hulewi.. jua pombe inakaelekea kukuondoa duniani..

Maana utakunywa nyingi zaidi ili uelewe na ini lako litashindwa kuhimili
 
Kweli vichwa vinatofautiana huku wengine castle lite 3, tu ni shida.
 
Chukua hii mkuu,
Ukimaliza Hii chupa Utanishukuru baadae
IMG_20220322_024118.jpg
 
Back
Top Bottom