Pombe gani mtu ukinywa haiachi harufu mdomoni?

Jamani hio kimpumu Kwa hapa Dar mfano inapatikanika sehemu Gani nimeanza kusikia hio pombe siku nyingi nikajionee
 
Sasa unataka kuondokana na huo uteja au unataka pombe isiyo na harufu? Chagua1
 
Fanya mpango agizia pombe ya mua kutoka gairo. Haina harufu ila kwa ulevi ni balaa...
 
Kuna pombe fulani inaitwa Kimpumu
Hiyo ukinywa, nyuki wanaanza kukiandama kinywa chako wakidhani ni maua, kutokana harufu nzuri ile ya pombe...

Nakushauri tumia hiyo pombe mkuu unaweza ukatengeneza mzinga wa nyuki, ukajipatia asali yako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kunywa pombe iliyo na chemical formula H-OH . CH3OH na C2H5OH hazifai kabisa kwa harufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…