Pombe gani mtu ukinywa haiachi harufu mdomoni?

Wewe shindilia aina yeyote ya pombe!...yameze tu, baada ya hapo kamata ndizi mbili mbivu, zilizoiva vizuri. Zibugia huku umefumba macho. Baada ya hapo hata Polisi waje Na tochi yao ya kupima ulezi hawapati kitu, zaidi ya matamate tu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
We nenda kwa makonda tuu maake haina namna
 
Wewe shindilia aina yeyote ya pombe!...yameze tu, baada ya hapo kamata ndizi mbili mbivu, zilizoiva vizuri. Zibugia huku umefumba macho. Baada ya hapo hata Polisi waje Na tochi yao ya kupima ulezi hawapati kitu, zaidi ya matamate tu!
Nikajua hii njia naijua pekee yangu[emoji23] [emoji23]

Na hapo hata ukibeua walah inatoka ndizi mbivu, hadi raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…