Pombe gani mtu ukinywa haiachi harufu mdomoni?

Kuna pombe fulani inaitwa Kimpumu
Hiyo ukinywa, nyuki wanaanza kukiandama kinywa chako wakidhani ni maua, kutokana harufu nzuri ile ya pombe...

Nakushauri tumia hiyo pombe mkuu unaweza ukatengeneza mzinga wa nyuki, ukajipatia asali yako.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hata isipoacha harufu mdomoni, bado tukienda kwa mkemia mkuu tutakubaini tu...
 
Harufu haisababishwagi na pombe bali husababishwa na nyama ya mdomoni, meno, ulimi, pua na koromeo. Ukisakunywa pombe hata upige vipi mswaki haisaidii because alcohol inareact na hizo tissue za alimentary canal na upper resipiratory tract.
 
Ukikosa jibu huku mkuu nakushauri umtafute kitwanga atakuambia,
 
Wataka kuacha pombe? Seriously? Piga kiroba chako kisha kunywa tembe 2 tu za metronidazole then sikilizia.... mind u uwe jirani na kituo cha afya kilicho equipped kutoa huduma za dhalula..... ukipona pombe hutataka isikia....
 
Hakuna pombe isiyo na harufu ukinywaa ila zimezidiana kuu kiwango

Kuna pombe ukinywa harufu unaisikia hata ww ulie kunywa

Kama soda tuu inaharufu sembuse alcohol??

Mtu tutadanganyana ila ukinywa we kaa na mbae hajakunywa lazima agundue tuu..
 
Tulikuwa tunavuta bangi tufanye paper na kupiga msuli night kumbe kuna waliokunywa pombe kufanya paper duh tunaishi dunia tofauti kimawazo
 
Mbege na nmeimis

Hasa ya rombo kirongo juu
 
mkuu kama unataka kweli kuacha usingetafuta isiyokua na harufu manake hiyo ni strategy ya kuwa bwax kila mara bila kugundulika.
 
Kavoda pink
Kavoda vodka
Ciroc
Captain morgan
Rhythm
Belairre
Remmy martin
Saint Anna
John walker
Lucifer
Fufu
 
mkuu kama unataka kweli kuacha usingetafuta isiyokua na harufu manake hiyo ni strategy ya kuwa bwax kila mara bila kugundulika.
My thought exactly! He is an alcoholic without a doubt.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…