Pombe gani mtu ukinywa haiachi harufu mdomoni?

My thought exactly! He is an alcoholic without a doubt.
yes he is alcoholic but he has expressed his wish to quit. Substituting for an odourless drink is not the solution. It will make things worse because he will partake even at his workplace.
 
Hakuna pombe isiyonuka maana materials inayotengenezwa nayo NI VITU VILIVYOOZA.
 
Kila glass utakayoimimina ichanganyie na matone kadhaa ya mkojo wa mlevi nakuapia hutockia harufu yyte.
Hiyo style ya matone imewagharimi dada zetu wengi sana!!! Hasa wale wanaopenda kunywa za kukomoa!!!
 
Niko Iringa natengeneza mvinyo,ukinywa bila kuchanganya na aina nyingine ya pombe,basi, hutakuwa na harufu wala hangover.
Nitafute nikuonjeshe,niko makini sana.
 
Kuna pombe fulani inaitwa Kimpumu
Hiyo ukinywa, nyuki wanaanza kukiandama kinywa chako wakidhani ni maua, kutokana harufu nzuri ile ya pombe...

Nakushauri tumia hiyo pombe mkuu unaweza ukatengeneza mzinga wa nyuki, ukajipatia asali yako.
Yaani comments zako na za Bonny hua zinanifurahisha kwa kweli
 
Wewe shindilia aina yeyote ya pombe!...yameze tu, baada ya hapo kamata ndizi mbili mbivu, zilizoiva vizuri. Zibugia huku umefumba macho. Baada ya hapo hata Polisi waje Na tochi yao ya kupima ulezi hawapati kitu, zaidi ya matamate tu!
Dah! Mkuu nimekupa phd katika hili maana umegusa mule mule si mchezo hii plani ndo funga kazi
 
Tafuta kwa kila njia upate pombe nzuri inayotoka juu ,inaitwa mnazi au kwa wale wanaotoka kusini mwa nchi inaitwa ukuti ni nzuri inarangi ya maziwa hata machoni inapendeza sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…