GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Siku moja nilimsikia mtu mmoja akisema kuwa kama angekuwa na redio kubwa kama ya rafiki yake fulani, asingeenda kunywa pombe baa. Angekuwa anazichukua na kwenda kuzinywea nyumbani kwake akiusikiliza muziki mzito kutoka kwa "liredio" lake.
Miziki pia inaonekana kama ni kitu cha kawaida baa. Hiyo ni kulingana na "observation" yangu binafsi. Baa nyingi nilizoziona zina miziki.
Ni kwa nini inakuwa hivyo? Kuna uhusiano wowote Kati ya unywaji pombe na kelele?