GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Mkuu, usinione usumbufu, ninataka tu kufahamu! Kelele zina msaada gani kwa mnywaji?Bia bila kelele ni sawa na kunywa juice!
Wamegusa sekta yako πΉna pakikosekana kelele alielewa anaanza yeye kupiga kelele..π
Weee kumbe!! Hatari sana
Mimi nimeacha pombe sababu ya kelele za bar. Na ambavyo nisivyopenda kelele niliamua kuchagua fungu jemaSiku moja nilimsikia mtu mmoja akisema kuwa kama angekuwa na redio kubwa kama ya rafiki yake fulani, asingeenda kunywa pombe baa. Angekuwa anazichukua na kwenda kuzinywea nyumbani kwake akiusikiliza muziki mzito kutoka kwa "liredio" lake.
Miziki pia inaonekana kama ni kitu cha kawaida baa. Hiyo ni kulingana na "observation" yangu binafsi. Baa nyingi nilizoziona zina miziki.
Ni kwa nini inakuwa hivyo? Kuna uhusiano wowote Kati ya unywaji pombe na kelele?
juzi tu hapa nilikuwa napiga kelele halafu tunaemsubiri hajafika! wakaona hili jamaa akifika huyo tunaemsubiri si ndo itakuwa tafrani..π€£Wamegusa sekta yako πΉ
kumbe nawe mlandukaji...π€£Ukituona tunavyohama kiwanja kimoja kwenda kiwanja kingine kutafuta kiwanja kinachobamba utadhani kikiwa kinabamba ndio hizo pombe tunapewa bure.
Na kuna siku hata shetani hataki mtu ulewe. Unajikuta usiku kucha unahama tu viwanja kila kiwanja unaona kimepoa hadi inafika saa 11.
Acha tu mkuuOyaaaa.!! πππ
Hahahana pakikosekana kelele alielewa anaanza yeye kupiga kelele..π