Pombe inaharibu maisha yangu nisaidieni

Nikuulize

Unakunywa hizo spirits zikiwa kavu au una pata kama cocktail?

Unakunywa kiasi gani kwa ule mzinga wa konyagi au kvnt ?

Una kichwa au nguvu ya mwili inastahamili unachokunywa ??

Vipi ulaji wako upoje ?

Maake spirits ilivyo Kali Inahitaji formula kidg tuu utulie,

Jee upo tyr kuacha pombe sii kwa kushurutishwa na mtu ?

Jitahidi kila kitu kiwe na kiasi
 
Mnywaj mwenzangu.
Kwanza pole na maswahiba
Pili, hongera kwa kuwa unajitambua

Tatu, its NOT too late.
ulivyopoteza (fedha na kutofanya mambo ya Msing ) yasikufanye uone ndio umefeli.

Ushaur wa Eli Cohen na @DK HAYA LAND ufanyie kazi.

mm Naongezea.
Kama hauna familia bas tafuta mwanamke usogeze muish kama Familia.
Ww Uko mbali na Familia yako haion maswaiba unayopitia. ila hakuna kitu kinauma kama kuona unaaibisha familia na wao wanaona.

Ukikaa bachelor na unakunywa Konyag hizo lazima zishuke chini. utasikia manyege kila mara.
Utatembea na barmaid had upate Ukimwi.

So far pamoja na ushaur wa hao wadau wawili . tafuta mweza pia wa kucontrol na kukupa majukumu na purpose nyingine ya kuishi.

Pia usiache pombe ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ila achana na mapombe makali.
Kunywa zako bia .
 
Nje ya mada kidogo ivi inakuaje mtu mzima na akili zake timamu anashawishiwa kufanya jambo na mtu mwengine?
huwa inakuwa kuwaje yaaani?

Mbona me nimecheza sana na wavuta bangi na walevi ila ktk maisha yangu sjawahi ata kuweka kipande cha sigara mdomon mwangu achilia kunywa pombe ?

Na ktk familia yetu kaka zangu 3 wote ndo starehe zao pendwa ulevi, mirungu na ndaga
ila kwa sas ngada hawavuti wamebakia apo kwenye mirungi na ulevi tu.
 
po
Hayo maisha unayoishi tunafanana Kwa kila kitu
le
Asante kwa ushauri,kula uwa nakula mkuu tena ata nusu ya nyama ila nina ulevi uliopindukia yaani nimeshakuwa addicted kwa usiku mmoja naweza maliza ata 2 kvant ndogo ila nashindwa jizuia nikiongeza tu ni shida
 
Pole sana ungekua hujaamua kuacha ningekushauri usiache maana mkiacha pombe tutakosa watu wa kuwadharau mtaani.
 
po

le

Asante kwa ushauri,kula uwa nakula mkuu tena ata nusu ya nyama ila nina ulevi uliopindukia yaani nimeshakuwa addicted kwa usiku mmoja naweza maliza ata 2 kvant ndogo ila nashindwa jizuia nikiongeza tu ni shida
Infact una kiwango kinachovuka kiasi,,, jitahidi kama moja una uwezo wa kuimaliza na hupati shida komea hapo hapo!!

Usilazimishe kitu kama tyr umetosheka,

Jitahidi upate kiasi mkuu
 
Hamia kwenye bia hakikisha unanunua kreti na unanywea nyumbani anza na Castle Lager 500ml au Safari Lager 500ml. Ukinywea nyumbani utabadilika maana ili uenjoy itabidi uanze kujipikia supu ama uchome nyama na uwe na fridge. Mwisho wa siku utaanza kunywa kistaarabu na utaizoea pombe utashangaa una bia 8 kwenye kreti haujazigusa mwezi wa pili. Mimi nilianza kufanya hivyo nilivyokuwa nyumbani lakini huku nchi za watu ndio utaratibu.
 
Funga sana na kusali,Mwombe Roho Mtakatifu,mlilie Yesu Kristo akuponye.Mwenyezi Mungu ni mwenye huruma sana atakuponya...
Nilikuwa zaidi yako ila ni kwa kudra za Mwenyezi Mungu tu..๐Ÿ™
 
po

le

Asante kwa ushauri,kula uwa nakula mkuu tena ata nusu ya nyama ila nina ulevi uliopindukia yaani nimeshakuwa addicted kwa usiku mmoja naweza maliza ata 2 kvant ndogo ila nashindwa jizuia nikiongeza tu ni shida
K vant ndogo 2 ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž

Mbona ndogo bro. min -me anashusha ile kubwa yenyewe na anakuwa byeee kabisa.

Anyway. inawezekana pombe kali hauzimudu.

Badili kinywaji.
Piga bia 5 au 6 then sepa home.

tena tafuta bar zenye wahudumu wabibi au inayohudumiwa na mmama mwenye heshima zake .
hata kama ni kiduka cha Mangi.

Na kwakuwa una manyege. the moment umeona ushaanza kumtaman huyo mbibi. bas unalipa unaenda kulala. (Hiki ndio kiwe kipimo cha Ulevi wako)
 
po

le

Asante kwa ushauri,kula uwa nakula mkuu tena ata nusu ya nyama ila nina ulevi uliopindukia yaani nimeshakuwa addicted kwa usiku mmoja naweza maliza ata 2 kvant ndogo ila nashindwa jizuia nikiongeza tu ni shida
Pombe imeharibu maisha ya watu wengi sana. Achana nayo mkuu
Ukiamua kuacha unaweza vizuri tu.
Jipe muda wa kugikiri kwamba je siku ukikutwa una matatizo ya INI AU FIGO utaendelea kunywa??? Jibu utakalo lipata ndiyo dawa ya kuacha
 
Usinywe siku za kazi mkuu.Kunywa weekend
 
Ushauri mzuri sana
 
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธHongera kwanza kwa kulitambua tatizo

๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธWalevi wengi Huwa hawakubali kuwa pombe ni tatizo

๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Kuacha pombe hakuhitaji mtu kukushauri ni uamuzi wako binafsi tena wa gafla kuanzia " Sasa sinywi" wale wanaosema wataacha kwa kupunguza kidogokidogo kama wale mateja wa dawa za kulevya Huwa hawaachi

๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Shukuru Mungu umegundua mapema unaweza kuwa figo zako zipo salama. Haya mapombe ya Sasa hivi yameua figo za vijana wengi na Sasa wanahudhuria dialysis na hakuna matibabu ya garama na ya kikatili kama hayo one session ni lakini 3 na ni almost ya kudumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ