Pombe inaharibu maisha yangu nisaidieni

Noma sana mkuu, nahisi kuna watu hawapaswi kunywa pombe
 
Ningekuwa mlevi tena hizo pombe za "take away", ningekuwa nanywea kwangu tu.

Huo ulevi wa mpaka kuzima ndiyo utakaokuponza zaidi, ni suala la muda tu.
Au huko Lushoto hakuna wahuni?
 
Na ushauri mzuri wa kuacha ama kupunguza pombe una toka kwa wanywa pombe na sio wanywa vyoda
 
Siku wakikufir**** baada ya kuzima Bar naamini utaacha mwenyewe bila kuja hapa jukwaani kuomba msaada
 
Ingia Google tafuta picha ya maini na moyo uliathirika kwa pombe,zi save kwenye simu halafu kila ukisikia hamu ya kunywa fungua hizo picha uwe unazitazama,baada ya mwezi utakuja kutupa mrejesho wa hali yako ya ulevi...
 
bro. usitoke kwenye Reli.

soma ushaur kwa makin hasa yale ambayo ni positives. chukua hayo...

Ila niamin. upweke ndio unaokusumbua.

Ukishamaliza kaz zako ukirud kwako na kuwa mpweke kuna mawazo memg sana yanakujia. na ndio shida inapoanzia.

1. OA
2. Fanya mazoezi
3. Tafuta kitu chenye kuchoshq kweye hii idle time na sio ukitoma unaenda bar kisa wanakujua ni mtumish na ukikopa watakuamini . hivyo utakunywa na utalipa ulipata salary.

4. ukinywa kunywa Bia na sio Spirit
kwa iyo unataka kusema za bei kubwa ndo watu haziwaletei shid
 
 
Ningekuwa mlevi tena hizo pombe za "take away", ningekuwa nanywea kwangu tu.

Huo ulevi wa mpaka kuzima ndiyo utakaokuponza zaidi, ni suala la muda tu.
Au huko Lushoto hakuna wahuni?
nina bahati kila nilivyokuwa napata shida nasaidiwa na wasamaria wema ambao wanakusaidia kwa sababu wananikuta sina kitu cha thamani,maana nishapigwa smartphone mbili kwa nyakati mbili tofauti
 
nina bahati kila nilivyokuwa napata shida nasaidiwa na wasamaria wema ambao wanakusaidia kwa sababu wananikuta sina kitu cha thamani,maana nishapigwa smartphone mbili kwa nyakati mbili tofauti
dah kwa hyo mpaka hua unalala mitaroni?
 
Big Balls hivi kumbe mikonyagi na k vant ni pombe kaliπŸ˜‚πŸ˜‚
Me nilijua mi shimha na ambiance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…