Pombe inaharibu maisha yangu nisaidieni

wewe upo kwenye hatua ya kwanza ya kuacha pombe ambayo ni KUJUTIA na kujilaumu na kuchukia hali ya ulevi na kutamani kutoka katika kifungo cha kutumikishwa katika ulevi..
Hatua ya kutambua kuwa pombe na ulevi ni tatizo kwako ....hupendezwi na hali hiyo lakini umefungwa katika kifungo cha ulevi,unatamani kutoka kifungoni...
Unaziona hasara za ulevi na madhara yake na unajutia nanunajilaumu hupendi hii hali..
HII NI HATUA YA KWANZA hupitiwa na wengi waliofanikiwa kuacha pombe...

wa kuwahurumia zaidi ni wale ambao ni waraibu wa ulevi ambao hata hii hatua ya kwanza ya kuacha pombe hawajaifikia yani wao hata hawaoni kama pombe kwao ni tatizo ..na ni wabishi na ni much know ..yani wanatafuta mbinu zozote za kuhalalisha ulevi na matumizi ya pombe hata kwa tumia mistari ya kutoka katika maandiko matakatifu .
ILA KWA WEWE kupitia hii hatua ya kwanza na kujitambua nikupe hongera KWA KUJITAMBUA sio rahisi kujitambua ukiwa kifungoni ina maana Mungu anasema na wewe..sauti inayokwambia kuacha pombe ni sauti ya Mungu...sauti inayokwambia uendelee kunywa pombe ni sauti ya SHETANI..maamuzi yapo mikononi mwako uchague njia utakayoiendea,njia ya UZIMA au njia ya MAUTI.
 
Aisee ndug
Hayo maisha unayoishi tunafanana Kwa kila kitu
u yangu kila unachosema nimekipitia najua kabisa iyo situation niliteseka sana ila kuna mbinu nicheki Pm nikunasue mimi nilitamani hadi kukatisha uhai kisa pombe kwa majuto hasa kupoteza mali
 
Ninkweli aisee 1.
 
Anza kunywa zilizopanda meli na ndege. Pombe hazijawahi kuleta hasara, kwenye kodi tunazidiwa na betting tu. Huku ndiko faraja za wanaume na madili zilipo we unataka uache.

Tafuta dr muulize kama akishauri unywe juisi kila siku, kama imekushinda nzito acha au punguza ila usiache kunywa, piga laini siku hizi mpk brutal tamu zipo we unaacha unataka uanze umbeya ?

Kunywa bia tunza maji.
 
Shida yako ndogo sana.

Badili aina ya pombe, badala ya pombe kali, kunywa bia.

Anza na bia kali mfano safari lager, castle lager.

Zikikusumbua hamia kwenye kilimanjaro lager alcohol yake sio kubwa.

Ukishindwa zaidi hamia kwenye castle lite au serengeti lite.
 
Jifunze kuacha pombe kali,kwa kutumia bear za kawaida,fanya hivyo hata kwakuchanganya kiasi kidogo na bear.Pia fanya mazoezi mengi ya kuuchosha mwilikila sikuhiyo itakusaidia kupunguza mawazo na kupata utulivu wa akili.Iwapo una ungana na marafiki jitenge nao wakati wa kupata burudani,ikiwezekana badili maringira ya kunywa mara kwa mara kuepuka kunywa na kampani.
 
If you don't drink beer, at least own a house or a car. Have something to show for your "good behavior". Not being a sober brokee
 
Mathayo11:28-30Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu; kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.
 
Acha uasherati na uzinz.. 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…