Pombe inaitendea nini akili ya mwanadamu? hadi kulewa

Pombe inaitendea nini akili ya mwanadamu? hadi kulewa

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
inakuaje mtu anakunywa pombe alafu akili inachangamka au kuvulugika (wengi mtakuwa mmeelewa ninachomaanisha)

utakuta mtu anaogopa kufanya au kusema jambo flani akiwa katika hali ya kawaida,lakini akilewa analitenda au kulisema! je ni namna gan pombe inampa ujasiri huo!?
 
Back
Top Bottom