Pombe inavyoharibu ubongo wabinadamu

Pombe inavyoharibu ubongo wabinadamu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Angalieni Pombe jinsi inavyo haribu ubongo katika kichwa cha binadamu.... Tuache jamani kulewa na kunywa Pombe....

734174_508629039181244_696607517_n.jpg
 
MziziMkavu in kweli kabisa haina ubishi hiyo na mimi ninaithibitisha kwa wengi kila mara.................smart guys whom alcohol has damaged their sense of reasoning...............
 
Mkuu Rutashubanyuma nilifikiri na hii utapinga maana kwa kupinga wewe hodari asante.

MziziMkavu umenichekesha kweli ile ya jana nilkwambia uko sahihi kabisa ila inategemea hatua ambayo ugonjwa umefikia...............Olive oil na vegetable oils nyinginezo zinayalainisha yale mawe ili yawe rahisi kutoka............na apple au any citric acids inapunguza ukubwa wa yale mawe kwa kuyayeshusha na kurahisisha kutka mwilini kwa njia za kawaida...........side effects za kuinua kiwango cha nyongo kipo kutegemea na mgonjwa kanywa kiasis gani cha mafuta na matunda tajwa.........................siyo mbishi ila hupenda kujibiwa maswali ya kwanini..........why?

Pombe huleta ufukara wa kila kitu..........na hata kufikiria inakuwa taabu I have friends who are alcoholic and have seen them losing everything. It is sad, really sad!
 
Juzi ulisema soda, leo pombe...kesho najua utasema maji ni sumu, manake kuna mtu humuhumu alisema ukiwa na kiu sana basi usinywe maji mpaka iishe yenyewe ndipo unywe maji...akitolea mfano kwamba hata gari iliyosafiri muda mrefu usiiongezee maji kwani unaiua fasta!!
 
pombe kwa kifupi siyo nzuri kwa afya hata kiuchumi wengi wa rafiki zangu wanamaisha ya ajabu sana kutokana na pombe si hivyo tu akili zao zinawazaq sana ngono wanapokuwa wamekunywa
 
Mkuu Sizinga huyu mtu akisema kuwa maji ni sumu ni muongo kabisa Maji ndio uhai wa binadamu Pombe ni mbaya kwa afya ya binadamu amka wewe mkuu Sizinga
 
Last edited by a moderator:
Juzi ulisema soda, leo pombe...kesho najua utasema maji ni sumu, manake kuna mtu humuhumu alisema ukiwa na kiu sana basi usinywe maji mpaka iishe yenyewe ndipo unywe maji...akitolea mfano kwamba hata gari iliyosafiri muda mrefu usiiongezee maji kwani unaiua fasta!!

ahahahaaaaaaaaaaa........nataka kulewa .
 
pombe kwa kifupi siyo nzuri kwa afya hata kiuchumi wengi wa rafiki zangu wanamaisha ya ajabu sana kutokana na pombe si hivyo tu akili zao zinawazaq sana ngono wanapokuwa wamekunywa

wewe nawe.....mbona watu hawanywi wala hawavuti lakin mambo hovyo...watu wanakunywa na kuvuta lakina mambo mswano.......you just drink responsibly
 
Biere ya kumi na mbili hii na ubongo bado uko fiti.....
 
kwa pombe no ubishi,madhara yake yako wazi kabisaaa,mwenye kubisha na abishe kwa sababu ni mbishi au anapennda kubuisha tu
 
asante MziziMkavu! nina hakika watumiaji wa pombe wana ufahamu fasaha kuhusu madhara ya pombe.
Tatizo ni kukubali kuacha kutumia pombe kwa vigezo vya kuharibu afya! hapo ndio penye matatizo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom