Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Mkuu Rutashubanyuma nilifikiri na hii utapinga maana kwa kupinga wewe hodari asante.MziziMkavu in kweli kabisa haina ubishi hiyo na mimi ninaithibitisha kwa wengi kila mara.................smart guys whom alcohol has damaged their sense of reasoning...............
Mkuu Rutashubanyuma nilifikiri na hii utapinga maana kwa kupinga wewe hodari asante.
MziziMkavu in kweli kabisa haina ubishi hiyo na mimi ninaithibitisha kwa wengi kila mara.................smart guys whom alcohol has damaged their sense of reasoning...............
Tuache pombe tuvite bange.
Bange haina madhara.
Mkuu Sizinga huyu mtu akisema kuwa maji ni sumu ni muongo kabisa Maji ndio uhai wa binadamu Pombe ni mbaya kwa afya ya binadamu amka wewe mkuu SizingaJuzi ulisema soda, leo pombe...kesho najua utasema maji ni sumu, manake kuna mtu humuhumu alisema ukiwa na kiu sana basi usinywe maji mpaka iishe yenyewe ndipo unywe maji...akitolea mfano kwamba hata gari iliyosafiri muda mrefu usiiongezee maji kwani unaiua fasta!!
Juzi ulisema soda, leo pombe...kesho najua utasema maji ni sumu, manake kuna mtu humuhumu alisema ukiwa na kiu sana basi usinywe maji mpaka iishe yenyewe ndipo unywe maji...akitolea mfano kwamba hata gari iliyosafiri muda mrefu usiiongezee maji kwani unaiua fasta!!
pombe kwa kifupi siyo nzuri kwa afya hata kiuchumi wengi wa rafiki zangu wanamaisha ya ajabu sana kutokana na pombe si hivyo tu akili zao zinawazaq sana ngono wanapokuwa wamekunywa
MziziMkavu in kweli kabisa haina ubishi hiyo na mimi ninaithibitisha kwa wengi kila mara.................smart guys whom alcohol has damaged their sense of reasoning...............
Tuache pombe tuvite bange.
Bange haina madhara.
Biere ya kumi na mbili hii na ubongo bado uko fiti.....