POMBE NI SHIDA

Royal Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2016
Posts
909
Reaction score
1,717
POMBE BWANA...

Mlevi mmoja aliwambia wenzake
"Jamani mimi nina wasiwasi,
Nahisi mimi ni Yesu!"
Wakamwuliza
"Kwa nini unajihisi hivyo?"
Akajbu,
"Kwa sababu, jana nilifika nyumbani, wife akasema,
"Yesu wangu" umelewa tena!

Asubuhi nikapelekwa kituo cha polisi,
mkuu wa polisi aliponiona akasema "Yesu wangu" umeletwa tena!

Jion hii wakati nimefika, hawa wahudumu wa baa walivyoniona wakasema,
"Yesu wangu" umekuja tena!

Hapo ndio nikawa na mashaka kuwa huenda mimi nikawa ndiye Yesu!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe una matatizo acha kukufuru..shame on you asubuhi yote hii unatuma upuuz upuuz hapa.
 
Hilo jina kubwa! Likitajwa mapepo yanakimbia, vipofu wanaona, viziwi wanaskia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…