Uamuzi wa maana sana utakuwa umeufanya, maana siyo siri, unywaji pombe unalostisha watu wengi maendeleo yao, na kama ujuavyo hii serikali ya magamba haioni sehemu nyingine ya kujikusanyia kodi zaidi ya kilaji, na mtu ukiamua kujiingiza kwenye cheap brew kama gongo, yanaweza kukukuta kama yaliyowakuta hao jamaa wa kigogo mbuyuni, hiyo jana, ambao baada ya kuamua kwenda kupata kilaji cha bei rahisi cha gongo, walevi 9 wamepoteza maisha! Kwa hiyo solution pekee ni kuachana na pombe na kurejea kwenye kinywaji cha asili kinacholeta afya mwilini, ambacho ni TOGWA!!