Bismack
JF-Expert Member
- Mar 12, 2018
- 387
- 495
Japo maneno hayo hapo juu jana maana nzuri ila kiukweli pombe ukiinywa kistaarabu inaleta faraja sana, kwa mfano mi nikinywa najisikia kumsamehe yeyote aliye nikosea hua naanza kuona kama duniani kweli tunapita hasa napokua nakunywa huku nasikiliza nyimbo za wasanii ambao wameshatutoka hua najiona mimi si kitu kabisa cjui kwann.
Tafadhali tuambie ukinywa pombe unahisi nini.
Tafadhali tuambie ukinywa pombe unahisi nini.