Mkuu unakuwa tayari umesha"graze"unapokunywa? Huu unywaji wako sio mzuri. In long run utakuwa kichaa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Japo maneno hayo hapo juu jana maana nzuri ila kiukweli pombe ukiinywa kistaarabu inaleta faraja sana, kwa mfano mi nikinywa najisikia kumsamehe yeyote aliye nikosea hua naanza kuona kama duniani kweli tunapita hasa napokua nakunywa huku nasikiliza nyimbo za wasanii ambao wameshatutoka hua najiona mimi si kitu kabisa cjui kwann.
Tafadhali tuambie ukinywa pombe unahisi nini.
Vipi mkuu upo chupa ya ngapi!?.Japo maneno hayo hapo juu jana maana nzuri ila kiukweli pombe ukiinywa kistaarabu inaleta faraja sana, kwa mfano mi nikinywa najisikia kumsamehe yeyote aliye nikosea hua naanza kuona kama duniani kweli tunapita hasa napokua nakunywa huku nasikiliza nyimbo za wasanii ambao wameshatutoka hua najiona mimi si kitu kabisa cjui kwann.
Tafadhali tuambie ukinywa pombe unahisi nini.
KinyesiJapo maneno hayo hapo juu jana maana nzuri ila kiukweli pombe ukiinywa kistaarabu inaleta faraja sana, kwa mfano mi nikinywa najisikia kumsamehe yeyote aliye nikosea hua naanza kuona kama duniani kweli tunapita hasa napokua nakunywa huku nasikiliza nyimbo za wasanii ambao wameshatutoka hua najiona mimi si kitu kabisa cjui kwann.
Tafadhali tuambie ukinywa pombe unahisi nini.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ki ukwel nagonga serengeti lager 2 kwa afya..
Mara chache napiga nne ama zaid nikiwa na furaha ama huzuni.
Niliwai kuwa na girlfriend nikamtoa out siku moja. Alikunywa bia mbili tu akaanza kulia na kuwakumbuka marehemu wote wa upareni sikutegemea.hakika aliniaibisha watu wote macho kwangu.
Naona stori yako inafanana na ya huyo bibie
Hahaa..hatar sanaKi ukwel nagonga serengeti lager 2 kwa afya..
Mara chache napiga nne ama zaid nikiwa na furaha ama huzuni.
Niliwai kuwa na girlfriend nikamtoa out siku moja. Alikunywa bia mbili tu akaanza kulia na kuwakumbuka marehemu wote wa upareni sikutegemea.hakika aliniaibisha watu wote macho kwangu.
Naona stori yako inafanana na ya huyo bibie
Weka vitu sawa ndugudaahhh weee acha tu