Tunakoelekea, nchi zenye mazingira kama QATAR hazitapigiwa kura tena kufanyia kombe la duni huko..!!Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Gianni Infantino amezungumza na waandishi wa habari huko Qatar kuhusiana na malalamiko ya kutokuwepo kwa pombe viwanjani kwenye michuano ya Kombe la Dunia.
Infantino amesema kuwa,“Kama pombe ndilo suala kubwa tulilonalo kwa Kombe la Dunia basi nitajiuzulu mara moja na kwenda ufukweni kupumzika."
"Usipokunywa bia kwa masaa mawili matatu, bado unaweza kuishi, kwa sababu utaratibu huu pia upo hata kwenye nchi za Ulaya, ukienda Ufaransa, Ureno hata Uswisi sheria hizi zipo.Hapa imekuwa jambo kubwa sijui ni kwanini au ni kwa kuwa sababu ni nchi ya Kiislamu."
#WorldCupQatarView attachment 2421133
Kwani sio sehemu ya Fifa au sio dunia mchezo wa mpira hauna husiano na pombe, kabisa, na kila nchi ina sheria zake.Tunakoelekea, nchi zenye mazingira kama QATAR hazipigiwa kura tena kufanyia kombe la duni huko..!!
Hata kulala mchezo wa mpira hauna uhusiano nako..!!Kwani sio sehemu ya Fifa au sio dunia mchezo wa mpira hauna husiano na pombe, kabisa, na kila nchi ina sheria zake.
Acheni udini Qatar pale sio mhakilishi wa uislamu ni nchi inao jitegemea na sheria zake national sovereignty heshimie kwa kila nchiUsikute kwenye Qur'an mpira wa miguu ni haraam
Inaongelewa pombe hapa sio ushogaMayahudi na manasara hawawi radhi mpaka ufuate mila zao. Yaani BBC wameshikilia bango Qatar kisa wamekataa mapenzi ya jinsia moja. Walivomajeuri Qatar wamewaambia mashoga wana matatizo ya akili. Hawa Qatar achana nao kabisa wana jeuri hatari, walikua wanaagiza maziwa kutoka Saudia, wakawazingua , walienda kupandisha ndege ngombe elfu 15 kutoka Marekani mpaka Qatar
Inaongelewa pombe hapa sio ushoga
Akili kama hizo tungekua nazo waafrika angalau 55% zingetusaidia kusimamia kikamilifu rasilimali zetu kwa ustawi wa jamii zetu. Lakini wapi bwana!Mayahudi na manasara hawawi radhi mpaka ufuate mila zao. Yaani BBC wameshikilia bango Qatar kisa wamekataa mapenzi ya jinsia moja. Walivomajeuri Qatar wamewaambia mashoga wana matatizo ya akili. Hawa Qatar achana nao kabisa wana jeuri hatari, walikua wanaagiza maziwa kutoka Saudia, wakawazingua , walienda kupandisha ndege ngombe elfu 15 kutoka Marekani mpaka Qatar
Catholic sio haramu wanasema drink responsiblyPombe ni haramu ktk dini zte bwashee
Catholic sio haramu wanasema drink responsiblyPombe ni haramu ktk dini zte bwashee
MkuuRais wa shirikisho la soka duniani FIFA Gianni Infantino amezungumza na waandishi wa habari huko Qatar kuhusiana na malalamiko ya kutokuwepo kwa pombe viwanjani kwenye michuano ya Kombe la Dunia.
Infantino amesema kuwa,“Kama pombe ndilo suala kubwa tulilonalo kwa Kombe la Dunia basi nitajiuzulu mara moja na kwenda ufukweni kupumzika."
"Usipokunywa bia kwa masaa mawili matatu, bado unaweza kuishi, kwa sababu utaratibu huu pia upo hata kwenye nchi za Ulaya, ukienda Ufaransa, Ureno hata Uswisi sheria hizi zipo.Hapa imekuwa jambo kubwa sijui ni kwanini au ni kwa kuwa sababu ni nchi ya Kiislamu."
#WorldCupQatarView attachment 2421133
Catholic sio haramu wanasema drink responsiblyPombe ni haramu ktk dini zte bwashee
Hata pepon kutakuwa na mito ya pombeCatholic sio haramu wanasema drink responsibly
Catholic sio haramu wanasema drink responsibly