Pombe sio sehemu ya mchezo wa mpira, chezeni mpira acheni ulevi wa pombe

adriz 😂🤣 umefikia pazuri una dislike Kitabu Cha Imani Yako

Koran 16:67
And from the fruits of date palms and grapes, you derive strong drink and a goodly provision. There is indeed a sign in this for those of reason
 
tuambie dini gani inaruhusu pombe
Allah anasifia na anasema ni Kwa watu wenye akili ndio wanaelewa muujiza wake wa pombe kali

Koran 16:67
And from the fruits of date palms and grapes, you derive strong drink and a goodly provision. There is indeed a sign in this for those of reason
 
Blatter atasababisha jamaa asipite kwenye uchaguz ila Africa na Asia itambeba Gian

Blatter aliweza kuzicheza karata zake viizuri kwa kuwa na support ya kutosha kutoa Asia na Africa, na ndio mana aliwasumbua sana wamagharibi, Gian ameligndua hilo kama ndio njia sahihi ya kuwa na nguvu na ndio mana ameamua kufata nyayo za Blatter
 
Duh sio kwamba kuna mazingira yanaandaliwa hapa ya hiko kimessi kichukue tuzo na kombe sababu ni michuano yake ya mwisho?
 
Pamoja na Kucheza Mpira Kombe la Dunia Ni kama Festival, Ni Mwisho wa Mwaka baada ya Hustles za Mwaka Mzima Watu wamesave kuweka Shida Zao Chini. Kuzuia Pombe ni Ujinga Tuuuu, In Either way, Ukimzuia mtu kunywa Pombe humfanyi huyu mtu asiwe Mnywaji.

FIFA wajitafakari watapoteza Mashabiki kadri miaka inavyo kwenda
 
Kwa hyo kuzuia pombe watapoteza mashabiki ila kuhamasisha ushoga ndio haki za binadamu kweli dunia inaelekea mwisho.
 
Kuna mpango wa kuwafanya muache kabisa kunywa. Mwaka huu mbona mtakoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pombe zitauzwa mawneo maalum, na sio ndani ya uwanja mchezo ukiwa unaendelea. Kwahiyo hakuna cha maana walichofanya.
Vipi na kubanduliwa mumepata ruhusa ya kubanduliwa mkiwa maeneo maalum?
 
point yako ya msingi ni ipi hapo
Allah anasifia na anasema ni Kwa watu wenye akili ndio wanaelewa muujiza wake wa pombe kali

Koran 16:67
And from the fruits of date palms and grapes, you derive strong drink and a goodly provision. There is indeed a sign in this for those of reason
 
Sawa.basi fanyeni yenu kwa kufuata taratibu za nchi husika
SI kila nchi Ina tamaduni zake na sheria zake?kwanini kwa Qatar iwe nongwa.?hata hapa Tanzania mtalii akija Kuna mambo anaelekezwa afanye na mengine asifanye.
Mimi naona tusiwapangie
Watu wanaoenda pale sio kila mtu ana dini au kuamini uwepo wa Mungu.
 
Hawa Qatar achana nao kabisa wana jeuri hatari, walikua wanaagiza maziwa kutoka Saudia, wakawazingua , walienda kupandisha ndege ngombe elfu 15 kutoka Marekani mpaka Qatar
Kwa hiyo walienda kuchukua ng'ombe kwa mayahudi na manasara?
 
Kwa hiyo walienda kuchukua ng'ombe kwa mayahudi na manasara?
Hawana shida na mayahudi na manasara kwenye mambo ya biashara na huduma za kijamii. Shida inakuja wakiambiwa na mayahudi na manasara wafuate ushoga na usagaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…