Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
Pombe ya jana bado imenishikilia japokuwa baada ya kuamka ....Nimefata procedures zote za walevi....Kujitapisha mda naoga na kusafisha meno....Nikahakiki ...kuwa nimetapika nyongo...michozi ..mikamasi mixer miudenda......baada ya hapo nkapata supu ya Utumbo....safi ila mpaka sasa hivi nipo hovyo...mate yanajaa mdomoni...najisikia kutapika hataree....
Ilikuwa hv jana....Bro alikuja So Tukatoka out...Nkasema Kwa jina la mungu pombe nimeacha ....Alikuwa na Shem na Videm vingine mezani Saint anna...Me nkaagiza maji....As far as pombe nimeacha mara paaap mbuzi Choma nikamla kilafi .......nkavimbiwa bro akasema dawa yake Nyagi ndogo...gonga nyagi 1, 2, 3, na nusu....shushia Saint anna...Heineken zangu.....
WAKATI NAPATA MASAIBU ASUBUHI NKAKUMBUKA HUWA WANASEMA USIMJARIBU MUNGU WAKO