R raslimali JF-Expert Member Joined Nov 4, 2014 Posts 1,958 Reaction score 1,744 Nov 4, 2023 #1 Nimeimiss sana hii pombe ya kabila la Warangi inaitwa Udo. Inatengenezwa kwa mtama. Wapi inapatikana mikoa ya jirani kama Arusha na Manyara??
Nimeimiss sana hii pombe ya kabila la Warangi inaitwa Udo. Inatengenezwa kwa mtama. Wapi inapatikana mikoa ya jirani kama Arusha na Manyara??
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Nov 4, 2023 #2 Ukienda Kondoa kwa hao Warangi, utaipata.
C Cohenlukinga JF-Expert Member Joined Nov 13, 2022 Posts 279 Reaction score 352 Nov 4, 2023 #3 raslimali said: Nimeimiss sana hii pombe ya kabila la Warangi inaitwa Udo. Inatengenezwa kwa mtama. Wapi inapatikana mikoa ya jirani kama Arusha na Manyara?? Click to expand... Manguree hiyo
raslimali said: Nimeimiss sana hii pombe ya kabila la Warangi inaitwa Udo. Inatengenezwa kwa mtama. Wapi inapatikana mikoa ya jirani kama Arusha na Manyara?? Click to expand... Manguree hiyo