KabisaaMimi nilishangazwa sana na baadhi ya watanzania ambao walipandwa na hamaki, kisa ubunifu huo wa hali ya juu kutoka kwa wahariri wa Taifa Leo.
Hio ni 'word play' tu, jambo ambalo ni la kawaida sana hata kwenye 'captions' za taarifa za habari kwenye Tv nchini Kenya. Kusema "Tz yapata Suluhu baada ya Pombe" au "Suluhu apata Mpango Tz" sio matusi wala dharau.
Bali ni sanaa tu ya lugha na ubunifu wa kucheza na maneno, kwa lengo la kuwavutia wasomaji wa magazeti kupitia vichwa vya habari vinavyofikirisha na kusisimua mawazo yao.
Mimi nilishangazwa sana na baadhi ya watanzania ambao walipandwa na hamaki, kisa ubunifu huo wa hali ya juu kutoka kwa wahariri wa Taifa Leo.
Hio ni 'word play' tu, jambo ambalo ni la kawaida sana hata kwenye 'captions' za taarifa za habari kwenye Tv nchini Kenya. Kusema "Tz yapata Suluhu baada ya Pombe" au "Suluhu apata Mpango Tz" sio matusi wala dharau.
Bali ni sanaa tu ya lugha na ubunifu wa kucheza na maneno, kwa lengo la kuwavutia wasomaji wa magazeti kupitia vichwa vya habari vinavyofikirisha na kusisimua mawazo yao.
Kenya inakatiba nzuri no doubt. Lakin inafuatwa? Tanzani kwanza lazma ijiandae na iandae wana siasa wao kisaikolojia kwanza ndipo katiba nzuri ije. Haina maana kuwa na katiba nzuri kama ya kenya lakn isifuatwe kikamilifu. Uzuri wa katiba sio kumtukuna rais au kubadilisha matokea ya uchaguzi. Kuna zaidi ya hapo. Tanzania isikurupuke kwenda kwenye katiba itakayoishia kwenye makaratasi wakati utawala haujawa tayari. Subira huvuta heri alisema Jomo kenyyata.
Kwa hivyo ni wake zetu hawa, nimejifunza kitu. [emoji1]Hawa usipowazoea utapandisha mapigo ya damu bure, hukwazwa na vitu vidogo sana, yaani kama mke unayeishi naye inabidi uwe makini kwa kila neno linalokutoka maana anaweza akanuna mwezi uishe na haukumbuki nini ulikisema kikamvimbisha.