Pompeo: Israel Haifanyi Uvamizi kwa Wapalestina bali Inatekeleza Maandiko ya Biblia

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Habari

Hivi ndivyo Wazungu wanahalalisha Israel kuendeleza Uvamizi wa Ardhi ya Wapalestina Kwa visingizio vya Imani na maandishi ya kwenye Biblia.

Kauli kama hizi za kina Pompeo ni za kulaaniwa na wapenda Haki wote.

========


 
Kwani hata wa-palestina nao wanatekeleza [emoji56][emoji38][emoji38]

IMEANDIKWA!
[emoji116][emoji116]

۞ لَتَجِدَنَّ أَشَدَّ النَّاسِ عَدَاوَةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الْيَهُودَ وَالَّذِينَ أَشْرَكُوا ۖ وَلَتَجِدَنَّ أَقْرَبَهُم مَّوَدَّةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الَّذِينَ قَالُوا إِنَّا نَصَارَىٰ ۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّ مِنْهُمْ قِسِّيسِينَ وَرُهْبَانًا وَأَنَّهُمْ لَا يَسْتَكْبِرُونَ

[ AL - MAIDA - 82 ]
Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Wakristo. Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao wasomi na wacha Mungu, na kwa sababu wao hawafanyi kiburi.
 

Mbona taarifa mbili tofauti??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…