Applicant
JF-Expert Member
- Feb 12, 2020
- 1,962
- 1,751
Habari za masikuuuu.
Kuna kisa kimoja hivi kilinitokea juzi nikikumbuka nacheka Sana, Kuna binti mmoja hivi anafanya kazi Pharmacy "Duka La Dawa", nimemfatilia tokea mwezi wa tatu hivi lakini akanikazia tuu.
Anakujaga nyumbani kunitembelea lakini anaishia nnje tuu anaogopa kuingia ndani, kiukweli Mimi kutongoza mwanamke kizamani siwezi, sitaki kuongea Wala kubembeleza Sana, Kama kawaida yangu napenda kuacha shililingi ya kitanzania inipiganie, Mimi nakaa pembeni tuu, Sasa kwa huyu binti pamoja na pesa zangu nikafeli aisee, mwisho wa siku naona Kama tunakua marafiki wa kawaida tuu.
Sasa juzi hiyo nikaona nimfanyie fix moja huyo mwanamke, ili nijue Kama kweli hanitaki kabisa auvipi, mida ya saa nne asubuhi hivi nikaenda kazini kwake pale Duka la dawa, nikaingia, nikamsalimia tuu Kama simjui yani, Kama mteja tuu wa kawaida, nikampa 10,000 nikakwambia "Dada naomba condom Ile yenye vipele vipele inaitwa Rough Rider!" Akawa Kama kashtuka hivi!
Akanipa pakt yangu ya condom na chench nikaondoka zangu.
Kabla Sijafika home akatuma Message kwa herufi kubwa "UNAENDA WAPI" sikumjibu.
Nikafika zangu home nikakaa zangu kwenye sofa nacheki video hamna Cha Nini Wala nin condom nilinunua za zuga tuu.
Baada ya dk25 hivi nasikia mlango unagongwa, nikaenda kufungua, Ile nafungua nashangaa Yule dada wa pharmacy anaingia na mlango! huku anahema Kama kakimbizwa halafu anauliza"Yukwaaaapi!" Nikamuuliza Nani?! Akaulza kwani condomu ulinunua za nini! Nikamjibu "Nilinunua ili siku ukinikubalia tuzitumie!' aisee alinipiga bonge la Kofi kwenye shavu! Baada ya Kofi zito sikuamini akanikumbatia kwa nguvu akaanza kunipiga romance, baada ya dakika 40 tulijishangaa tuu tupo kitandani ndani ya shuka mpaka Sasa sikumbuki tulifikaje.