comfix Member Joined Feb 15, 2014 Posts 59 Reaction score 11 Feb 18, 2014 #1 Habari wana jf, naombeni msaada wenu kwa anaejua tiba halisi ya ugonjwa huu wa ngozi, ni vipele vidogovidogo hutokea hasa kwenye vidole vya mikononi, vinawasha sana.
Habari wana jf, naombeni msaada wenu kwa anaejua tiba halisi ya ugonjwa huu wa ngozi, ni vipele vidogovidogo hutokea hasa kwenye vidole vya mikononi, vinawasha sana.