Pona yetu vijana wa kileo ni vita ya 3 ya dunia, tofauti na hapo hii dunia itaendelea kuwa mikononi wa watesi wetu

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
4,035
Reaction score
11,462
Linaweza kuonekana kama wazo mfu lakini huo ndiyo ukweli. Tangu zamani vita ndiyo njia ya kurekebisha mambo na kubalance power.

Ukiangalia kwa undani matatizo yanayowakabiri vijana ni karibu sawa ulimwenguni kote, ajira hakuna, kupuuzwa na watawala pamoja na mauaji ya hovyo yanayofanywa na wanasiasa duniani kote.

Tangu utawala Constantine the Great mambo yanazidi kuwa magumu sana kwa sisi vijana. Suluhisho ni vita ya 3 ya dunia tena vita virefu haswa vya takiribani miaka 7 hapo ndipo tunaweza kupata mfumo mpya wa maifa.

Ground battle iwe Afrika, Asia na nchi za Amerika maana huko ndiko viongozi makatiri wameweka makazi yao.
Despite being a mostly destructive force, war forces all individuals to contribute to their society.
 
Vita ya 3 tunayo sisi watanganyika, vita ni yetu ni ukombozi wa Taifa letu kupata katiba mpya na kujitawala kwa misingi ya haki, usawa na demokrasia ya kweli.

Hii ndiyo vita kubwa kuliko hiyo anayoisema mleta hoja.
 
Vita vitaongeza tatizo. Kama ulikuwa huna ajira ila unapata angalau chakula sasa chakula hutokuwa nacho na ajira hutokuwa nayo na itakapokwisha bado mfumo utarudi pale pale kwa wenye nguvu za kiuchumi huku masikini wengi wakiwa kwenye hali mbaya.
 
Vita vitaongeza tatizo. Kama ulikuwa huna ajira ila unapata angalau chakula sasa chakula hutokuwa nacho na ajira hutokuwa nayo na itakapokwisha bado mfumo utarudi pale pale kwa wenye nguvu za kiuchumi huku masikini wengi wakiwa kwenye hali mbaya.
Despite being a mostly destructive force, war forces all individuals to contribute to their society.
 
Reactions: Tsh
Despite being a mostly destructive force, war forces all individuals to contribute to their society.
Mfumo ni ule ule mkuu, hiyo contribution itamuumiza asiye na kitu kuliko aliye na kitu.

Waraka utapita wa vijana kwenda vitani ila wasio na nguvu ya kiuchumi ndo watasombwa field kwenye kuchinjana.

Wale wenye nguvu za uchumi utawakuta kwenye policy, planning, fedha n.k Yaani mambo ya makaratasi karatasi.

Hapa cha kufanya ni kujipa sababu, nia, jeuri na motisha ya kuanzisha vita yako na umasikini mpaka uushinde.
 
Kumbuka kuna vijana wenye ajira siyo kwamba wote hawana. Kwa hiyo mkuu unaona bora wote wakose? Huoni kwamba hiyo ni roho mbaya na ubinafsi?
Wewe ndiyo mbinafsi sijasema kuharibu mfumo wa ajira nimesema mfumo wa kisiasa umekaa kikatri hata hao wenye ajira wewe unaona Wana furaha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…