Dunia kote siasa na utawala ni Mali ya Elites kuanzia USA, Russia mpaka China.
Watu strong wenye hela na ushawishi ndio wanakuwa sehemu ya maamuzi makubwa.
Tofauti ya kwingineko na huku ni mipaka na controlling ya interference hata kwenye mambo madogo madogo na uwezo mdogo wa akili wa elites wengi.
Russia wanaitwa Oligarchs akina Abrahamovic na matyacoon wengine waliotengenezwa na mfumo na kuwa nyuma ya Putin, USA kuna akina Musk, Bill nk.
ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.