Kwanza nakupongeza kwa uamuzi wako wa kukarabati mapungufu yaliyoonekana katika awamu ya tano, ambayo wewe mwenyewe ulikuwa kiongozi mkuu.
Pili nakupongeza kwa kumali siku 100 za uongozi wako kwa kurekebisha pale ambao uliona hapakwenda sawa.
Tatu nakupongeza kwa ku-deal na watu ambao walitumia madaraka kwa kufanya mambo ambayo watu wengi walichukizwa kwayo. Mfano ni huyu SABAYA na wenzake.
Leo nimepata taarifa kuwa watu wawili wengine walioshirikiana na Sabaya kufanya uhalifu wa kuwatishia watu na silaha za moto na kuwaibia 35,000 na simu ya tekno wamekamatwa. Hongera sana mama.
OMBI LANGU SASA
Naomba mama uwakamate pia walioshirikiana na Seth na Rugemalila kutafuna mabilioni ya pesa za watanzania za Escrow.
Ili liwe fundisho kwa kizazi chote kuwa pesa ya umma iheshimiwe.
ASANTE MAMA.