Pongezi Baba Msombe kaimu Askofu Jimbo la Iringa

Pongezi Baba Msombe kaimu Askofu Jimbo la Iringa

Duduvwili

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2015
Posts
4,355
Reaction score
4,476
Tumsifu Yesu Kristo wapendwa katika Kristu ninayo furaha kubwa kuchukua nafasi hii kama Mwanaparokia Mzawa wa Ipogolo kukupongeza kwa Baraka za maono yaliyopelekea kupata uongozi wa juu kabisa katika jimbo letu la Iringa itoshe Kusema Mungu azidi kukutia nguvu uzidi kutusimamia kiroho hasa katika kipindi hiki ambacho jamii ya Waamini inahitaji kiongozi Msomi na mwenye maono wa Aina yako kumbukumbu zako zinazidi kuonekana Parokiani Ipogolo kwa miundo mbinu madhubuti uliyoiacha Binafsi ninakutakia Utume Mwema na Mungu akubariki sana
 

Attachments

Back
Top Bottom