BabaMorgan JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 4,869 Reaction score 13,137 Jul 24, 2024 #1 Maendeleo hayana chama, aliyetoa fedha kwa ajili ya mataa Kilwa Road anastahili pongezi. Zama za kuviziana zimefika tamati. Pia soma: Barabara ya makutano ya VETA na Chang'ombe hakuna mataa na taa za barabarani hazifanyi kazi, ni hatari kwa wananchi Barabara ya Ilala Boma iwekwe mataa ya muda, ni hatari kwa watembea kwa miguu na wenye magari pia
Maendeleo hayana chama, aliyetoa fedha kwa ajili ya mataa Kilwa Road anastahili pongezi. Zama za kuviziana zimefika tamati. Pia soma: Barabara ya makutano ya VETA na Chang'ombe hakuna mataa na taa za barabarani hazifanyi kazi, ni hatari kwa wananchi Barabara ya Ilala Boma iwekwe mataa ya muda, ni hatari kwa watembea kwa miguu na wenye magari pia
Msela Baharia JF-Expert Member Joined Jun 12, 2016 Posts 766 Reaction score 1,104 Jul 24, 2024 #2 Dp world
Paka wa ferry Member Joined Feb 5, 2015 Posts 62 Reaction score 95 Jul 24, 2024 #3 BabaMorgan said: Maendeleo hayana chama aliyetoa fedha kwa ajili ya mataa Kilwa Road anastahili pongezi zama za kuviziana zimefika tamati Click to expand... Kwani barabara ilishakabidhiwa?
BabaMorgan said: Maendeleo hayana chama aliyetoa fedha kwa ajili ya mataa Kilwa Road anastahili pongezi zama za kuviziana zimefika tamati Click to expand... Kwani barabara ilishakabidhiwa?
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,013 Reaction score 14,263 Jul 24, 2024 #4 BabaMorgan said: Maendeleo hayana chama aliyetoa fedha kwa ajili ya mataa Kilwa Road anastahili pongezi zama za kuviziana zimefika tamati Click to expand... tunapongeza hadi taa
BabaMorgan said: Maendeleo hayana chama aliyetoa fedha kwa ajili ya mataa Kilwa Road anastahili pongezi zama za kuviziana zimefika tamati Click to expand... tunapongeza hadi taa
B Benderea JF-Expert Member Joined May 25, 2021 Posts 686 Reaction score 1,303 Jul 24, 2024 #5 Mbona barabara iko giza tu ilhali kuna nguzo za umeme barabara yote ???