LGE2024 Pongezi kwa CCM kwa kujipanga

LGE2024 Pongezi kwa CCM kwa kujipanga

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Hakika CCM ni chama zoefu katika siasa.Huu ni mwaka mwingine CCM pamoja na kupitia vipindi vigumu imeweza kijitetea vyema na kwa sauti kubwa.

CCM kama ilivyo vyama vingi vikongwe imeendelea kusimama kama chama imara kinachoheshimu upinzani ndani ya nchi na ukinzani kutoka mataifa dhalimu!

Hata hivyo CCM imeweza kujizatiti na kujihakikishia kuwa itaendelea kuwa madarakani kwa miaka mingi ijayo.

Bado hakuna chama mbadala kwa CCM sikivu.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
 
Kwa kweli hongera zao nyingi ,kwani haukuwa uchaguzi bali uchafuzi .Watu walikuwa wanashindana kujaza fomu za kugombea uongozi
 
Kila mwaka mnayasema haya na kila mwaka mtashindwa...vibaraka wa mabeberu wakubwa ninyi
 
Dah kwa mauaji na uwizi wakutumia dola.hi n ishara ccm haikubaliki
Ndugu yangu sio Kwa kiasi kidogo ukisikiliza simulizi za wasimamizi hutaamini. Wapinzani WA kweli waachane na hizi chaguzi watafute kazi nyingine 😔😔
 
Hakika CCM ni chama zoefu katika siasa.Huu ni mwaka mwingine CCM pamoja na kupitia vipindi vigumu imeweza kijitetea vyema na kwa sauti kubwa.

CCM kama ilivyo vyama vingi vikongwe imeendelea kusimama kama chama imara kinachoheshimu upimzani ndani ya nchi na ukinzani kutoka mataifa dhalimu!

Hata hivyo CCM imeweza kujizatiti na kujihakikishia kuwa itaendelea kuwa madarakani kwa miaka mingi ijayo.

Bado hakuna chama mbadala kwa CCM sikivu.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Hongereni, naona mlivyojipanga👇
masoudkipanya-20241129-0003.jpg
 
Hakika CCM ni chama zoefu katika siasa.Huu ni mwaka mwingine CCM pamoja na kupitia vipindi vigumu imeweza kijitetea vyema na kwa sauti kubwa.

CCM kama ilivyo vyama vingi vikongwe imeendelea kusimama kama chama imara kinachoheshimu upimzani ndani ya nchi na ukinzani kutoka mataifa dhalimu!

Hata hivyo CCM imeweza kujizatiti na kujihakikishia kuwa itaendelea kuwa madarakani kwa miaka mingi ijayo.

Bado hakuna chama mbadala kwa CCM sikivu.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Nakujua wewe ni mkristo mwenzangu kama hiki kilichotokea unakibariki kwa sababu tu ya shibe yako!!Ipo siku wajukuu watalipa hili!!

Upumbuvu wa MUNGU NI ZAIDI YA HEKIMA YA MWANADAMU"
 
Kilaza ktk bora wako, eti ccm walipanga sirious? Ccm ni majizi ya kila kitu
 
Nakujua wewe ni mkristo mwenzangu kama hiki kilichotokea unakibariki kwa sababu tu ya shibe yako!!Ipo siku wajukuu watalipa hili!!

Upumbuvu wa MUNGU NI ZAIDI YA HEKIMA YA MWANADAMU"
Una-Force kunijua ! hii ni verse ya
wimbo wa Singeli.
Halafu huwa sipendi unafiki wa kujidai ni mkiristi au muislamu pindi unapominywa kwenye maslahi ya ukwepaji kodi
 
Kujipanga kwa haramu kamili na nusu haramu walisema baada ya hapo wanatubu maisha yanaendelea! Ni mafanikio makubwa sana kuwafanya watu wote wapumbavu kwa miaka zaidi ya 60
 
Back
Top Bottom