Pongezi kwa diasporas na waliozamis south Africa kwa kuonyesha uzalendo kwenye mechi ya jana

Pongezi kwa diasporas na waliozamis south Africa kwa kuonyesha uzalendo kwenye mechi ya jana

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
Jana kwenye mechi ya nusu fainali kati ya Taifa stars na Zambia kulikuwa na mashabiki wengi wa stars wakishangilia na kuwapa sapoti vijana mpaka watangazaji wa super sport walishangaa na kusema mashabiki wa stars wamewa outsmart wale wa Zambia.

Asilimia kubwa ya wale mashabiki ni wale vijana waliozamia kwa madiba kutafuta maisha na kwa bahati nzuri nilifanikiwa kuwaona vijana 2 ambao wanakaa mtaani ila wamezamia south miaka 2 iliyopita.


Hongereni diasporas na mliozamia south Africa kwa kuonyesha sapoti ya kutukuka maana kipindi cha kwanza kelele za kidedea zilikuwa zinasikika kwa sauti ya juu sana.
 
Naiman watazipata tukishwndwa acha tugeane iman na matumani ,kufalijiana na vtu kama hvyo
 
Back
Top Bottom