The Genius
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 822
- 2,095
Natoa pongezi kwa update zilizofanywa na uongozi wa JF kwenye app yao.kwa kweli imekuwa na mwonekano mzuri.
Ni hayo tu
Ni hayo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daaaah 😂😂😂 nimehisi kama nimeambiwa mimi vile 😂😂😂Kuna vitu si lazima uanzishie uzi!
hahaa kwanini chifudaaaah 😂😂😂 nimehisi kama nimeambiwa mimi vile 😂😂😂
Bila kuwa na kitufe cha dislike mwonekano hausaidii saana zaidi ya kuwindwa na ban kutokana na maudhi ya kina cocochanel na timu yake inatumia ugwemgongo kufikiri!Natoa pongezi kwa update zilizofanywa na uongozi wa JF kwenye app yao.kwa kweli imekuwa na mwonekano mzuri.
Ni hayo tu
Mkuu labda ungeweka hapa orodha ya vitu ambavyo si lazima vianzishiwe uzi,huenda ungeeleweka zaidi.Kuna vitu si lazima uanzishie uzi!
Ni kujiongeza tu, ukiona jambo labda halina umuhimu!Mkuu labda ungeweka hapa orodha ya vitu ambavyo si lazima vianzishiwe uzi,huenda ungeeleweka zaidi.
Tatizo mkuu,si kila jambo basi watu wote tutaliona lina umuhimu au halina umuhimu,binadamu tunatofautiana kimawazo na kimtazamo,hatufanani.Ni kujiongeza tu, ukiona jambo labda halina umuhimu!
Bila kuwa na kitufe cha dislike mwonekano hausaidii saana zaidi ya kuwindwa na ban kutokana na maudhi ya kina cocochanel na timu yake inatumia ugwemgongo kufikiri!
Ilikuwa Pentium ngapi hiyo laptonga.Ha ha haaaaa
Acha uoga wa nondo ninazoshusha.. nimefurahi kujua zinaku 💉💉💉
Kwanini usijiongeze ukawa na furaha kutumia JF kuliko kushinda unalia lia kama wenzako pia.. eeeh
Nilipojiunga humu 2007
Sikuja na watu ujue na ukumbuke hilo.. 2007 tena kwa kupitia laptop yangu ya enzi hizooooo..
Kunywa soda hapo ulipo mkuuBila kuwa na kitufe cha dislike mwonekano hausaidii saana zaidi ya kuwindwa na ban kutokana na maudhi ya kina cocochanel na timu yake inatumia ugwemgongo kufikiri!
Asante kwa ukarimu!Kunywa soda hapo ulipo mkuu
Ilikuwa Pentium ngapi hiyo laptonga.
Hujataja pentium ngapi?Ha ha ha haaaaa
Yaani ilikuwa kwanza na kauzito ka kikalio kuwa kapana fulani.. bado ipo inafanya kazi.. ila niliipumzisha zamani sanaaaa.. brand nzuri za wakati huo na hadi sasa.. katipu sijawahi kuwa shabiki wa HP zaidi ya kununua printers zao nilipopenda then..
Umenikumbusha mbali as nijuavyo kupekua mamboz.. nilikumbana na Jamboforums nikaanza kuisoma mwaka 2006.. hadi siku nilijisikia kuandika ndio nikajiunga na kuwa mdau.. tena nilikuwa nimekaa sebuleni naangalia TV.. enzi za zile za matako makubwa nyuma eeeeeeh
TV na laptop zilikuwa za brand moja..
Nahisi wewe ulikuwa primary au chekechea eeeeeh😛
Hujataja pentium ngapi?
Acha kujichekesha!
TumekuelewaNjoo uangalie.. mimi nikae kukumbuka vitu ninavyobadili kila mwaka.. utaniuliza hadi uchoke.. na sitaangalia ng'oo as ninazo data mahala mtandaoni
Nikifikiria tabu niipatayo upande wa PM sifikirii kuwapongeza kwasasa.Natoa pongezi kwa update zilizofanywa na uongozi wa JF kwenye app yao.kwa kweli imekuwa na mwonekano mzuri.
Ni hayo tu