PONGEZI KWA JF

The Genius

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2018
Posts
822
Reaction score
2,095
Natoa pongezi kwa update zilizofanywa na uongozi wa JF kwenye app yao.kwa kweli imekuwa na mwonekano mzuri.
Ni hayo tu
 
Bila kuwa na kitufe cha dislike mwonekano hausaidii saana zaidi ya kuwindwa na ban kutokana na maudhi ya kina cocochanel na timu yake inatumia ugwemgongo kufikiri!


Ha ha haaaaa
Acha uoga wa nondo ninazoshusha.. nimefurahi kujua zinaku ๐Ÿ’‰๐Ÿ’‰๐Ÿ’‰

Kwanini usijiongeze ukawa na furaha kutumia JF kuliko kushinda unalia lia kama wenzako pia.. eeeh

Nilipojiunga humu 2007
Sikuja na watu ujue na ukumbuke hilo.. 2007 tena kwa kupitia laptop yangu ya enzi hizooooo..
 
Ilikuwa Pentium ngapi hiyo laptonga.
 
Ilikuwa Pentium ngapi hiyo laptonga.

Ha ha ha haaaaa

Yaani ilikuwa kwanza na kauzito ka kikalio kuwa kapana fulani.. bado ipo inafanya kazi.. ila niliipumzisha zamani sanaaaa.. brand nzuri za wakati huo na hadi sasa.. katipu sijawahi kuwa shabiki wa HP zaidi ya kununua printers zao nilipopenda then..

Umenikumbusha mbali as nijuavyo kupekua mamboz.. nilikumbana na Jamboforums nikaanza kuisoma mwaka 2006.. hadi siku nilijisikia kuandika ndio nikajiunga na kuwa mdau.. tena nilikuwa nimekaa sebuleni naangalia TV.. enzi za zile za matako makubwa nyuma eeeeeeh

TV na laptop zilikuwa za brand moja..

Nahisi wewe ulikuwa primary au chekechea eeeeeh๐Ÿ˜›
 
Hujataja pentium ngapi?
Acha kujichekesha!
 
Hujataja pentium ngapi?
Acha kujichekesha!

Njoo uangalie.. mimi nikae kukumbuka vitu ninavyobadili kila mwaka.. utaniuliza hadi uchoke.. na sitaangalia ng'oo as ninazo data mahala mtandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ