cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Tumekuelewa
DislikeWewe na nani.. unafikiri una akili kumbe umejaa wivu tu.. lia kama haitoshi jipige vibao.. uongo mnaojazana unafikiri kila liandikwalo na mwingine ni uongo.. eeeeeh..
Na badoooooooo
halafu ndio first comment ππππdaaaah πππ nimehisi kama nimeambiwa mimi vile πππ
daaah noma sana mkuu πππ ningekuwa mm ningewaomba mods waushushe uzi ππhalafu ndio first comment ππππ
watu wengine hawafai hata kuwa madaktari wataua kwa preshadaaah noma sana mkuu πππ ningekuwa mm ningewaomba mods waushushe uzi ππ
kweli kabisa πππwatu wengine hawafai hata kuwa madaktari wataua kwa presha
Kuna vitu si lazima uanzishie uzi!
Kitafsiri una maana JF ni Mwali wa Mtoa Post?Mkeo ' akipendeza ' kuliko ilivyo kawaida yake huwezi Kumkongole / Kumpongeza?