Pongezi kwa mgunduzi wa muziki na Pombe

Wazabanga kuku

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
264
Reaction score
380
Hivi vitu bhana ukiwa na stress vitumie kula pombe za kutosha piga muziki huyo demu wako aliekuzingua unamsahau fasta tu ndo mana darassa kasema MAISHA NA MUZIKI na SI MAISHA NA MAPENZI
 
Tunahitaji waturudishie chanel zetu za bure kama walivyohaidi la sivyo waturudishie analogia yetu maana antena bado tunazo. Huu ni uonevu mkubwa na unyonyaji pia pia ni laana kumnyonya maskini hata kwa kile kidogo alichonacho.
 
Umeandika hii thread ukiwa bar?
 
Hivi vitu bhana ukiwa na stress vitumie kula pombe za kutosha piga muziki huyo demu wako aliekuzingua unamsahau fasta tu ndo mana darassa kasema MAISHA NA MUZIKI na SI MAISHA NA MAPENZI
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
teh kweli,ila si kwa pombeeeeeeee.mi kwangu mziki na.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…