Pongezi kwa Mwl. Nyerere

Pongezi kwa Mwl. Nyerere

CHOMBEZA

Senior Member
Joined
Oct 27, 2011
Posts
129
Reaction score
27
Napenda kutoa pongezi za kutosha kwa Mwl. Nyerere kwa kazi kubwa aliofanya ya kufumba taifa zima kufuata kama anavyotaka na anavyohitaji liwe kwa hilo pongezi nyingi sana kwako teacher.
Teacher nachokipenda zaidi kutoka kwako mpaka kukupongeza zaidi ni hili la kuifunika historia ya nchi hii kuanzia miaka ya 1950 kurudi nyuma na kuifanya historia ya nchi hii ianze kueleweka kuanzia mwaka 1954 na kuendelea mbele kwa hili Hongera sana Teacher
Teacher laiti ungelikuwa hai leo ungetikisa kichwa kwa tabasam la chini ya moyo maana kaunta ataki ulioifanya kwa Mzee Takadiri ilikuwa siyamchezo your genius Teacher Hongera sana.
Na mchezo wako nzuri uliocheza kwenye kula 3 pale unyamwezini aisee natamani ningelikuwepo pale nikushike mkono wa pongezi Teacher hongera sana.

Mimi nakuombea kwa Mungu akulipe kulingana na mizani yako mzee wangu khakika Mungu simpunjaji ni mjuzi wa hesabu na Mwingi wa malipo kwa watu wake umetumia akili yako nyingi sana kufanyia mengi nchi yako.
Always I salute your games #TAFAKURI
 
Back
Top Bottom