Asanteni sana Mch Masa na FirstLady1, naomba tuendelee kuombeana katika jukumu hili la kulitoa Taifa Mahala hapa na Kulipeleka mahala Pengine
Mungu Awabariki sana
Dada vipi tena? Afya imeleta mgogoro?hongera sna dakitari nitakutafuta unitibu
hongera sna dakitari nitakutafuta unitibu