Pongezi kwa ndugu Simbu

Pongezi kwa ndugu Simbu

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Nachukua nafasi hii kukupongeza Ndugu Simbu kwa juhudi ulizoonyesha katika mbio za marathon kwenye michezo ya Olympic kule Tokyo Japan.

Hukuweza kupata medali lakini kuwa mtu wa saba kwenye mbio hizo ni kitu cha kujivunia kama nchi.

Hongera sana.
 
Kwa nchi yetu hii anahitaji hongera.. japo mwaka 2016 alishika nafasi ya 5.
 
Angerudi na medali, ningeungana na wewe kumpongeza. Kinyume na hapo, namshauri aendelee kukaza msuli. Haiwezekani majirani zetu Wakenya na Waganda kila mashindano yanapo tokea, wanarudi na medali, halafu sisi tunang'aza ng'aza tu macho!

Halafu yule Filbert Bayi, hivi ni Katibu Mkuu TOC wa maisha? Kila uchaguzi unapofika, ni lazima ashinde yeye!! Huku akiwa hana tija yoyote ile!! Kwa nini asitumie muda wake mwingi kusimamia shughuli zake za kumuingizia kipato, na hiyo Kamati ya Olimpiki kuwaachia wengine?

Kha!! Yaani amejigeuza kuwa Nkurunzinza wa Kamati ya Olimpiki Tanzania!!!
 
Kajitahidi, wanariadha wetu huachwa wafanye mazoezi bila msaada wowote wa maana toka serikalini au chama cha riadha, wao husubiri muda ufike wawape bendera wakaiwakilishe nchi, halafu wakifanya vizuri wajitokeze kwa mbwembwe kuwapokea uwanja wa ndege, wakiharibu wanatokomoa kimya kimya hata wasijulikane walipo.
 
Nenda wewe.
 
Samahani kidogo Kwa hili swali wanamichezo.

Hivi hawa wanariadha wana vilabu vyao au league yao kama vile vilabu vya mpira wa miguu,basketball na netball?
Kama hawana hii fani yao inawasaidia vipi kwenye maisha ya kila siku?

Naomba kujuzwa yote yanayohusu hawa wanamichezo

Nalog off
 
Baadhi yao akiwemo huyu Alfonce Simbu wameajiriwa jeshini, na hivyo hupata kaunafuu fulani ka udhamini na pia uhakika wa maisha. Arusha kuna vilabu vichache vya wana riadha! Ila kwa bahati mbaya havina nguvu ya kiuchumi.

All in all, hawa wanariadha wana chama cha chao kinachoitwa RT, lakini pia wapo chini ya Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), ambayo tangu enzi na enzi! Katibu wake mkuu ni Filbert Bayi!!
 
Ahsante sana kwa ufafanuzi Mkuu
Nalog off
 
Back
Top Bottom