Angerudi na medali, ningeungana na wewe kumpongeza. Kinyume na hapo, namshauri aendelee kukaza msuli. Haiwezekani majirani zetu Wakenya na Waganda kila mashindano yanapo tokea, wanarudi na medali, halafu sisi tunang'aza ng'aza tu macho!
Halafu yule Filbert Bayi, hivi ni Katibu Mkuu TOC wa maisha? Kila uchaguzi unapofika, ni lazima ashinde yeye!! Huku akiwa hana tija yoyote ile!! Kwa nini asitumie muda wake mwingi kusimamia shughuli zake za kumuingizia kipato, na hiyo Kamati ya Olimpiki kuwaachia wengine?
Kha!! Yaani amejigeuza kuwa Nkurunzinza wa Kamati ya Olimpiki Tanzania!!!
Hamna kitu wenzetu medal 100 unasifia nn Sasa hapo
Samahani kidogo Kwa hili swali wanamichezo.Angerudi na medali, ningeungana na wewe kumpongeza. Kinyume na hapo, namshauri aendelee kukaza msuli. Haiwezekani majirani zetu Wakenya na Waganda kila mashindano yanapo tokea, wanarudi na medali, halafu sisi tunang'aza ng'aza tu macho!
Halafu yule Filbert Bayi, hivi ni Katibu Mkuu TOC wa maisha? Kila uchaguzi unapofika, ni lazima ashinde yeye!! Huku akiwa hana tija yoyote ile!! Kwa nini asitumie muda wake mwingi kusimamia shughuli zake za kumuingizia kipato, na hiyo Kamati ya Olimpiki kuwaachia wengine?
Kha!! Yaani amejigeuza kuwa Nkurunzinza wa Kamati ya Olimpiki Tanzania!!!
Nalog offKajitahidi, wanariadha wetu huachwa wafanye mazoezi bila msaada wowote wa maana toka serikalini au chama cha riadha, wao husubiri muda ufike wawape bendera wakaiwakilishe nchi, halafu wakifanya vizuri wajitokeze kwa mbwembwe kuwapokea uwanja wa ndege, wakiharibu wanatokomoa kimya kimya hata wasijulikane walipo.
Baadhi yao akiwemo huyu Alfonce Simbu wameajiriwa jeshini, na hivyo hupata kaunafuu fulani ka udhamini na pia uhakika wa maisha. Arusha kuna vilabu vichache vya wana riadha! Ila kwa bahati mbaya havina nguvu ya kiuchumi.Samahani kidogo Kwa hili swali wanamichezo.
Hivi hawa wanariadha wana vilabu vyao au league yao kama vile vilabu vya mpira wa miguu,basketball na netball?
Kama hawana hii fani yao inawasaidia vipi kwenye maisha ya kila siku?
Naomba kujuzwa yote yanayohusu hawa wanamichezo
Nalog off
Ahsante sana kwa ufafanuzi MkuuBaadhi yao akiwemo huyu Alfonce Simbu wameajiriwa jeshini, na hivyo hupata kaunafuu fulani ka udhamini na pia uhakika wa maisha. Arusha kuna vilabu vichache vya wana riadha! Ila kwa bahati mbaya havina nguvu ya kiuchumi.
All in all, hawa wanariadha wana chama cha chao kinachoitwa RT, lakini pia wapo chini ya Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), ambayo tangu enzi na enzi! Katibu wake mkuu ni Filbert Bayi!!