Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah, itabidi wote wahamishwe ili kupisha ujenzi hapoHamas walitegemea watachapwa hata miezi 3 alafu UN na Iran waingilie kati wawaokoe ila kilichofatia ni miezi kadhaa ya kusaidiwa kwenda kugombaniana mabikra 72 huko waendapo.
Lengo lilikuwa ni kukomesha ugaidi usije kujirudia tena.Hamas walitegemea watachapwa hata miezi 3 alafu UN na Iran waingilie kati wawaokoe ila kilichofatia ni miezi kadhaa ya kusaidiwa kwenda kugombaniana mabikra 72 huko waendapo.
Hakika mkuu 💯Lengo lilikuwa ni kukomesha ugaidi usije kujirudia tena.
Vita vinaelekea kwisha, lakini takribani watu wote walioasisi na kusimamia utekelezwaji wa 'ruteka' ya Oct 23 nchini Israeli walikwisha kuuawa.
Hamasi itakayokuwepo sasa itakuwa na sura nyingi mpya na mawazo mapya.