Lengo lilikuwa ni kukomesha ugaidi usije kujirudia tena.
Vita vinaelekea kwisha, lakini takribani watu wote walioasisi na kusimamia utekelezwaji wa 'ruteka' ya Oct 23 nchini Israeli walikwisha kuuawa.
Hamasi itakayokuwepo sasa itakuwa na sura nyingi mpya na mawazo mapya.