Kenya 2022 Pongezi kwa Rais Samia kuwa 'Neutral' kwa Uchaguzi Mkuu wa Kenya. Pole kwa Museveni na Kagame kwa 'Kumsapoti' anayeenda Kuangushwa

Kenya 2022 General Election
T
Toa data mkuu usiwe mtu wa kupika maneno.
 
Unataka kusema kitawakuta kilicho tukuta sisi jirani zao Tz? That will be a sickening scenario.
 
Museveni a-support Raila? Wewe ni mpuuzi wa wapi kutokujua fedha za Ruto za kampeni zimehifadhiwa banks za Uganda?
 
Angeonesha upande angechangia Nini? Yeye apaswa tu kujifunza maana halisi ya demokrasia na aanze mchakato wa utekelezaji, nae akumbukwe na vizazi vijavyo kama mwasisi wa kweli aliyeleta mageuzi na kuondoa demokrasia uchwara hapa kwetu !!
 
Huyo jamaa sio mzima kichwani

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mimi natoka kanda ya ziwa lakini nataka Ruto ashinde. Lakini ukweli kwa data za matokeo Ruto anashinda na ni vigumu kumuibia kwani matokeo yote anayo na hawawezi kupindisha kwani kila mtu anaweza kucountercheck na kuprove usahihi wa kura.
 
Mimi natoka kanda ya ziwa lakini nataka Ruto ashinde. Lakini ukweli kwa data za matokeo Ruto anashinda na ni vigumu kumuibia kwani matokeo yote anayo na hawawezi kupindisha kwani kila mtu anaweza kucountercheck na kuprove usahihi wa kura.
Mzee wa kitendawili anaenda zake kulea wajukuu.
 
Kenyatta amuendeshe Raila?? Yaani Raila aliyegombea Urais tokea 1997 kipindi Uhuru anaanguka ubunge ndio aje kuburuzwa naye?? Raila mbona amekua akipata kura kabla ya Uhuru sidhani kama Kuna chochote anahitaji kwa Kenyatta Ili ashinde.

Ruto amekua Naibu Rais miaka 10 alishindwa kufanya lolote ndio aweze akiwa Rais? Hayo yote mbona hakushauri alipokua makamu? Yaani wakenya wakimchagua Ruto watakua wajinga sana.
 
Yalisemwa haya haya kwa Josee na Felix pale shamba la bibi ila kinachojir wote tunaona..ukiingia ikulu hata kama uliwekwa kwa bahati mbaya ile power una feel utatengua na kuondoa woote ambao unaona waweza kuwa threat kwako including waliokuweka ...au nasema uongo mtu chake ?
 
nakubaliana na wewe mkuu .hkn anayekubali kuongozwa wkt yy ndo head of state
 
Mambo tayari yalishakamilika. Kinachofanyika sasa ni kuhakiki tu: Mkeke huu hapa:

REGION: KENYA LEADING: RUTO WILLIAM
Candidates%ProgressVotes
Ruto William50.63%
Odinga Raila48.70%
Wajackoyah George0.44%
Waihiga David0.23%

Source: click: 2022 Kenya General Election
 
Wakati uwa siamini kama huwa unaandika ukiwa na akili timamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…