Pongezi kwa serikali kupambana na Cults

Pongezi kwa serikali kupambana na Cults

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
20,189
Reaction score
29,663
Naomba niipongeze seriakali ya Tanzania kwa kujitolea kupamabana na kuibuka kwa Cult mbali mbali.

1. Kwanza, kwa sasa mitume na manabii wana chombo Chao ambacho kitawasimamia na kudhibiti utapeli kwa waumini. Kwa sasa chombo hicho kina Rais wake na Mlezi mkuu.

2.Pili, serikali imeanza kuingilia kusaidia raia waliokwama kwenye hizi cult. Hii Ni ishara njema iwapo cult itaumiza raia basi serikali itaingilia na kutoa msaada kwa raia. Mf. Serikali kupitia polisi kwa hati ya mahakama imekwenda kumchukua mtoto aliyeshindwa kusoma baada ya kwenda kuishi kwa Zumaridi yeye na mama yake na kukataa kurudi nyumbani.

Tuiunge mkono serikali maana maafa ya Cult mwisho wa siku Ni mabaya sana.Leo watu wataishutumu serikali lakini siku maafa yakitokea wote tutarudi kuilaumu serikali kwa kutokuchukua hatua. Kwa mfano Uganda walimchekea Kibwetere akaangamiza watu wengi kwa kuwachoma Moto.

Cult sio nzuri, Kule Marekani alikuwepo David Kureish aliyenzisha Cult inaitwa Davidians ambao waliamini kuhusu mwisho wa dunia, walipoona mwisho wa dunia hauji wakanunua Jengo kubwa na kwenda kuishi humo, huku wakinunua silaha kwa Siri ili watekeleze mauaji ili kuaminisha mwisho wa dunia. Ila FBI waliwawahi na walipigana kwa muda wa siku 51, ndipo gesi ikalipuka na kuua watu wote 80 wakiwemo watoto wadogo.

Hongera serikali dhibiti wale wanaotaka kuleta shida
 
Unapotosha...
Polisi hawakwenda pale kushughulikia unachoita 'cult'.. bali kwa amri ya mahakama, kunasua mtoto aliyenyimwa uhuru wa kwenda shule bila sababu ya msingi
 
Naomba niipongeze seriakali ya Tanzania kwa kujitolea kupamabana na kuibuka kwa Cult mbali mbali.

1. Kwanza, kwa sasa mitume na manabii wana chombo Chao ambacho kitawasimamia na kudhibiti utapeli kwa waumini. Kwa sasa chombo hicho kina Rais wake na Mlezi mkuu.

2.Pili, serikali imeanza kuingilia kusaidia raia waliokwama kwenye hizi cult. Hii Ni ishara njema iwapo cult itaumiza raia basi serikali itaingilia na kutoa msaada kwa raia. Mf. Serikali kupitia polisi kwa hati ya mahakama imekwenda kumchukua mtoto aliyeshindwa kusoma baada ya kwenda kuishi kwa Zumaridi yeye na mama yake na kukataa kurudi nyumbani.

Tuiunge mkono serikali maana maafa ya Cult mwisho wa siku Ni mabaya sana.Leo watu wataishutumu serikali lakini siku maafa yakitokea wote tutarudi kuilaumu serikali kwa kutokuchukua hatua. Kwa mfano Uganda walimchekea Kibwetere akaangamiza watu wengi kwa kuwachoma Moto.

Cult sio nzuri, Kule Marekani alikuwepo David Kureish aliyenzisha Cult inaitwa Davidians ambao waliamini kuhusu mwisho wa dunia, walipoona mwisho wa dunia hauji wakanunua Jengo kubwa na kwenda kuishi humo, huku wakinunua silaha kwa Siri ili watekeleze mauaji ili kuaminisha mwisho wa dunia. Ila FBI waliwawahi na walipigana kwa muda wa siku 51, ndipo gesi ikalipuka na kuua watu wote 80 wakiwemo watoto wadogo.

Hongera serikali dhibiti wale wanaotaka kuleta shida
Acha upumbav
 
Back
Top Bottom