Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli serikali yetu inastahili hongera, kuna nchi jirani zetu wanateseka sana, kama zambia umeme unakatika kwa masaa 17 kila siku aise na msimu wa joto ndio unaanza zambia sipati picha mateso watakayopata , tanzania tupo mbali sana kulinganisha na jirani zetu, nimeenda malawi pia matatizo ya umeme bado wanahangaika tu aise, southafrica hadi leo bado mgaoNi kwa miezi kadhaa baada ya vilio vya mgao mkali wa umeme, hali imetulia, baadhi ya maeneo umeme haujakatika miezi mitatu mfululizo.
Ndivyo inavyobidi serikali itutumikie wananchi, kwa hali ikiendelea hivi malalamiko yanatoka wapi kwamfano ?
Hakuna haja ya kujilinganisha na Zambia, Malawi, n.k. Tanzania tunastahili umeme wa uhakika kwasababu tuna rasilimali nyingi mno za kuzalisha umemeKwakweli serikali yetu inastahili hongera, kuna nchi jirani zetu wanateseka sana, kama zambia umeme unakatika kwa masaa 17 kila siku aise na msimu wa joto ndio unaanza zambia sipati picha mateso watakayopata , tanzania tupo mbali sana kulinganisha na jirani zetu, nimeenda malawi pia matatizo ya umeme bado wanahangaika tu aise, southafrica hadi leo bado mgao
Hongera sana kwa tanzania, kama hujatembea nchi nyjngine kwa hapa africa huwezi kuappreciate neema na mafanikio yetu kama nchi
Nani hana rasilimali kama za tanzania? Zambia wana victoria falls wanazalisha copper ambayo inategemewa dunua nzima,Hakuna haja ya kujilinganisha na Zambia, Malawi, n.k. Tanzania tunastahili umeme wa uhakika kwasababu tuna rasilimali nyingi mno za kuzalisha umeme